Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mwezi october 2025,hivyo ukiwa kama ndugu,Jamaa,rafiki wa karibu wa familia hii.Tunaomba mchango wak

Ads
Mwezi october 2025,hivyo ukiwa kama ndugu,Jamaa,rafiki wa karibu wa familia hii.Tunaomba mchango wak
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango wa Send Off
" Lolote mfanyalo,lifanyeni kwa Moyo kama kwa Bwana,
wala si kwa wanadamu "(Wakolosai 3;23)
Familia ya Bw &Bi CHARLES ABSALOOM ONING'O
wa Kimandolu_Arusha
Wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Dct/Prof/Bw.& Bi/Mwl/Mch/Bi/Bw
......................................
kuwa binti yao mpendwa
Miriam CHarles
Anatarajia kufanyiwa sherehe ya kuagwa (sendoff)
mwezi october 2025,hivyo ukiwa kama ndugu,Jamaa,rafiki wa karibu wa familia hii.Tunaomba mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu na ya Baraka.
Tafadhari wasilisha mchango wako kwa alie kupa kadi hii,kabla ya tarehe 15/09/2025
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa ushirikiano wako

+255 754 761 836-Florah
+255 755 988 639-Lilian
+255 689 117 168-elizabeth
Similar cards
Inspirations
Psalm 128:5Our life together is a long, romantic love letter written in the ink of adventure and joy and stampeMwezi october 2025,hivyo ukiwa kama ndugu,Jamaa,rafiki wa karibu wa familia hii.Tunaomba mchango wakSs in the futureHistoryHappiest of birthdays to the beautiful girl, my lovely sister Sana who got me through childhood
Statistics Created today: 30 Created yesterday: 19 Created 7 days: 128 Created 30 days: 761 All ecards: 357582
Copyright by CreateGreetingCards.eu