Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Ndugu/ JOYRINE

Ads
Ndugu/ JOYRINE
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Ndugu/ JOYRINE

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Date 12 May 2025,MondayOn Friday , 19 January 2024On Sunday, 18th January 2025Enock ClaudVenue : F-1005, Aswani Galaxy, Pink city road, wakadTime: 6.30pm onwards on 24th November
Statistics Created today: 58 Created yesterday: 47 Created 7 days: 387 Created 30 days: 1509 All ecards: 352219
Copyright by CreateGreetingCards.eu