Create a similar
Send a card
The content of the card
PRE WEDDING PARTY
Familia ya Bwana na Bibi Edson Bashimbe, Kwa kushirikiana na familia ya Bwana na Bibi Jacob Mambo wa kibaha Maili Moja. Wanyo furaha kubwa sana
kukujulisha/kuwajulisha
Bwana/Bibi/Bi/Mr/ Mrs/Mwl/Pdr/Eng/Dr/Prof
————————————————
Kuwa tunatarajia kufanya sherehe ya Kumuaga (Send-off) binti yetu mpendwa.
Sis. Glory Edson Mkolani
Itakayofanyika tarehe 12/09/2024.
Wewe ukiwa kama ndugu au rafiki wa karibu na familia hii
tunakuomba mchango wako wa hali na mali
ili kufanikisha sherehe hii.
Mwishi wa kuwasilisha michango ni tarehe 01/09/2024.
Unaweza kuwasilisha mchango wako kupitia namba hizi.
0754966964 Jacob Mambo
0755471151 Martha Binene
Tunathamini sana mchango wako kwani utatuwezesha kukamilisha sherehe ya kumuaga Binti yetu.
Mungu akubariki sana...
Statistics
Created today: 52
Created yesterday: 152
Created 7 days: 607
Created 30 days: 2361
All ecards: 327077
Copyright by CreateGreetingCards.eu