Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Ndugu/ SAMWELI kuwa ki

Ads
SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Ndugu/ SAMWELI  kuwa ki
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Ndugu/
SAMWELI

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923444
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Arishina-Kunkuma InvitationVenue : G1 1203,KINGSBURYVenue : C-111, Snehangan residency, Sai chowk,wakad ,PuneSuresh Chand 
 
 Solicit the presence of your being company on auspicious occasion of the kuan pujaVenue :801 Falcon Ace Aviana CHS LtdArambh Shri Akhand Path Sahib……10.00 a.m
Statistics Created today: 80 Created yesterday: 58 Created 7 days: 389 Created 30 days: 1541 All ecards: 352299
Copyright by CreateGreetingCards.eu