Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Tarehe

Ads
Tarehe
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi

Familia ya Mzee Sikanyika ya Kyuba inayo furaha kukutaarifu
Ndg/Dr/Prof/Eng/CPA/Bw&Bi

.............................................Tarehe...................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa anayetarajia kufunga ndoa.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaombwa ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu, kikao kitafanyika Kyuba


Mawasiliano :0614226370
Similar cards
Inspirations
My elder Brother-in-Law🙏निमंत्रण पत्र🙏Venue MAASHA MAHAL NEHRU BAZAR SIVAGANGAIToday, always.With the blessings of " DHANANI " Family
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 8 Created 7 days: 69 Created 30 days: 375 All ecards: 360579
Copyright by CreateGreetingCards.eu