Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Yohana Ngassa

Ads
Yohana Ngassa
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
Yohana Ngassa
........................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 25/05/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunti 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawad Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
Venue : A-1001 Ace Square, KasarvadavaliNavchandi Havan : 9:30 AM OnwardsSARAHVenue : C 101Venue :Building no.2, Floor 3, Door 303Mata ki Chowki & Naamkaran
Statistics Created today: 6 Created yesterday: 24 Created 7 days: 82 Created 30 days: 344 All ecards: 359381
Copyright by CreateGreetingCards.eu